Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau natafuta gari hizo apo ziwe katk hali nzuri bajeti yangu ni milioni nne pia mwaka kwanzia mwaka 2000 my number 0766681106
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyumba Ambayo iko Kibaha kwa Matias...Ilipo shule ya Filbert Bay Two House in One Plot. Na sehemu ya Kupaki Gari Ndogo Zinauzwa zote Kwa Sasa Bei ya Milioni 90Tsh(MILIONI TISINI), kutoka bei ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habar ndugu zangu,nataka kuagiza simu ktk web tajwa apo juu,mimi nipo bukoba na nilijarbu kupitia ktk sehemu izo nikakuta simuu bei nafuu sana mfano samsung galaxy note2 usd$210 sasa sijui hadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji line ya tigopesa mwenye hanalo tuwasiliane kwa namba hii. 0783907323
0 Reactions
0 Replies
975 Views
mwenye samsung galaxy s4 i9500 au i9505, brand new full box kwa reasonable price anipm tufanye business naomba mwenye mchina usijisumbue kwakuwa ninajua simu feki usije ukaniletea nikakupiga nayo...
0 Reactions
3 Replies
868 Views
iNAUZWA SAMSUNG NC10
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hp pavilion mx50 monitor in a good cndtn 15 inch buy it and get keyboar and mechancal mouse free at only 40000/=tsh in dar ubungo
0 Reactions
0 Replies
619 Views
VIWANJA VINAUZWA KIGAMBONI,CHANIKA,KEREGE BAGAMOYO,vimepimwa kigamboni 6000 Tsh per sqmeta tel 0713 95 92 90 or 0687 57 34 34
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza used laptop hii sony,iko katika hali nzuri
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarii zenu...Ninauza simu zifuatazo.... 1.Blackberry curve 1 nyeuc Tsh...120,000 zipo 4 2.Blackberry Curve 2..@ Tsh 140,000 3.Blackberry Torch 1@Tsh 245,000 4.Blackberry Bold 9780 @180,000...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
nauza vista ardeo imetembea km 45373 engine n vvti..cc 1800 Ni ya mwaka 2002 unaweza angalia attachment photo niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar haina shida...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza vista ardeo imetembea km 45373 engine n vvti..cc 1800 Ni ya mwaka 2002 unaweza angalia attachment photo niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar haina shida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naomba anae jua jinsi ya ku create blog anielekeze
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakubwa, nna hiyo bidhaa hapo ni mpya naiuza kwa TZS 680,000/= Inasupport sim card na ina uwezo wa kutumika kwa kupiga na kupokea simu, sms na huduma nyingine za simu. Internal memory yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunauza magari kutoka uk(used condition)offisi zetu zipo nkrumah street,dar es salaam. Unatoa oda ya gari unalotaka from salon,4 by 4,trucks,ma tractor everything comes from u.k. Unatoa...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Lipo karibu na njia panda ya kwenda mtambo wa maji Ruvu chini,barabara ya bagamoyo mlandizi kilometa 7 kutoka bagamoyo mjini,lina miundo mbinu yote maji na umeme,liko barabarani kabisa lina ukubwa...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
inahitajika gari aina ya saloon yeyhaliote iwe gx100.alteza.spacio.carina.au vitz iwe na hali nzuri isiwe imepata ajali au kupigwa rangi kama unayo ni pm..wale wanaojifanya wanajua kuongea...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
in ukubwa wa sqm 1800,huduma zote za umeme na maji zipo jirani.Gari inafika mpaka kwenye plot.Bei 50 milioni.0714 381704
0 Reactions
0 Replies
738 Views
MBU ni tatizo kubwa kwa afya zetu na familia zetu kwa ujumla.Tokomeza maleria kwa kutumia dawa ya asili iliyotengenezwa kwa mitishamba.Dawa hii ukishaiweka kwenye umeme inatoa harufu nzuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninauza Shamba/eneo heka 2 maeneo ya Bukumbi-Mwanza,nikaribu na barabarani,anayehita kuona ama maelezo zaidi unaweza wasiliana na mimi kwa email:misasophie@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom