Shamba/eneo linauzwa bukumbi-mwanza

Shamba/eneo linauzwa bukumbi-mwanza

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Ninauza Shamba/eneo heka 2 maeneo ya Bukumbi-Mwanza,nikaribu na barabarani,anayehita kuona ama maelezo zaidi unaweza wasiliana na mimi kwa email:misasophie@yahoo.com
 
... vipi ukitupiamo hapahapa bei ya kuanzia ili tuvutike kufanya mawasiliano ya email? Eneo ni Mita za Mraba ngapi? Ni Bukumbi ipi, karibu na njiapanda ya kwenda Bukumbi "Senta"/Hospitali, Kalwande ama?
 
Funguka zaidi hiyo bukumbi ipo wapi? Ilemela au nyamagana? Ipo jirani na eneo gani maarufu? sio wote tupo mwanza japo twaweza ku invest huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom