Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

TECNO T736 inauzwa bei poa sana kati ya tsh 60,000-50,000 na inauwezo mkumbwa na inatumiaya internet bila shida na inawiki kama Mbili tu anayeitaji apige cm 0768151073 niko Igunga mjini.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nakodisha hii camera aina ya Canon 500D ama nauza kwa kusaidia watu kwa kulipa polepole kila mwezi kidogo kidogo,ila jaman,wabongo ndio hivyo kwa utapeli tumejaliwa,mimi nina nia nzuri tu hapa,mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana Jf, Napenda Kuwatangazia Kua Ofisi yetu iliyopo maeneo Ya Mwanjerwa Mkoani Mbeya Inapenda kukutaarifu kwamba Tunatoa Huduma zifuatazo kwa gharama nafuu sana, HUDUMA TUTOAZO Tunafanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau habari zenu! Kama kuna dalali au mdau yeyote humu ana nyumba anaipangisha au anafahamu nyumba inayopangishwa maeneo ya ubungo...please mnijulishe. Nahitaji nyumba yenye vyumba viwili vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
New Galaxy note 8...GT N5100 released in april 2013!!! Specifications Quad core processor Exynos chip..at 1600Mhz (1.6ghz × 4) Ram 2GB Memory 16 gb on board (expandable to 64gb) Support GSM...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ni samsung ya kichina ila inauwezo wa maana tu na iko bei poa xana 40,000-30,000 tsh bado iko poa inacku tano tangu inunuliwe npo KAHAMA mjini maeneo ya farntom. kama vp for more ncheck 0753344557...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji hiyo kitu used haraka, im a technician,aliye serious for sale PM me au sms 0757032976.
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Nahitaji toyota premio ya 2006 au baada ya hapo.... Iwe ya rangi kati ya grey, nyeusi au blue mawasiliano; 0786305664 0717543373
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa ni hekari moja kipo njia panda ya Moshi-Arusha, karibu na mji mdogo wa Himo. Kinapakana na barabara kuu ya Dar - moshi. Kiwanja kimepimwa, kinafaa kuweka petrol station, kujenga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka nimnunulie vitz demu wangu isizidi milion tano iwe kwenye hali nzuri plz.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baa inapangishwa iko maeneo ya mbezi luis,mawasiliano 0772 28 47 48.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji line ya TIGO-PESA. Kwa hiyo mtu yeyote mwenye line ya TIGO-PESA naomba awasiliane na mimi kupitia PM (PRIVATE MESSAGE), na kama itapatikana nahitaji kufahamu bei yake.
0 Reactions
0 Replies
961 Views
Hii ni laki 2 na 50 tu bei haipungui, ni nzima na haijawai kufunguliwa kabisa na fundi. Nimeshindwa kuweka picture. Ila ncheki WhatsApp ntakutumia kama unahitaji.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ni laki 2 na 50 tu bei haipungui, ni nzima na haijawai kufunguliwa kabisa na fundi. Nimeshindwa kuweka picture
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Viwanja Madale vinauzwa ukubwa ni 35 kwa 30 bei 10m mazingumzo yapo, ni kabla na maeneo ya kwa Kawawa. mawasiliano 0773 944 944
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SPECIFICATIONS: Image sensor CCD sensor, 23.6 x 15.8 mm; total pixels: 10.75 million; Nikon DX-format Image size (pixels) 3,872 x 2,592 [L]; 2,896 x 1,944 [M]; 1,936 x 1,296 [S] Sensitivity ISO...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Iphone 4s Mbili Black Mbili White Zote 16 GB Zimetumika miezi michache Hazina scratches BEI: 520,000 each Galaxy S3 Black 16 GB Imetumika miezi michache BEI: 585,000 Contact...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau heshima mbele!naomba mwenye uzoefu wa magari tajwa hapo juu...Isuzu Birghoni Vs Rav(Old Model-1995-98) 4;Ipi kati ya hizo zinaweza kupiga mzigo kwa muda mrefu na ina gharama za chini za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama unahitaji fundi umeme wa majumbani au viwandani...naishi Dar-es-salaam,Mabibo wilaya ya Kinondoni...nicheki kupitia 0713 190 118..nitakufikia..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu marafiki. Habar nzuri kwa wenzetu waliofanya mitihani mwaka 2013 ikiwa ni trial,huku wakipewa pongezi kwa wingi wakiwemo walimu na wazee,wanafunzi hao walifaulu vizuri trial yao...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Back
Top Bottom