Natafuta hizi gari vitara ya milango 3 au vitz ya milango 3

Natafuta hizi gari vitara ya milango 3 au vitz ya milango 3

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
48
Wadau natafuta gari hizo apo ziwe katk hali nzuri bajeti yangu ni milioni nne pia mwaka kwanzia mwaka 2000 my number 0766681106
 
Mkuu ungeweka na kiwango cha miaka ingesaidia mf 1997-2003
 
Nina escudo yangu tatzo nade unatoa ela ndogo sana ongeza 3
 
Ndipo uwezo wangu ulipofikia nikijitaidi sana ni 3.5
 
Tatzo hata sjaiona kupanda sio tatzo
 
Kumbe bei za magari zimeshuka kiasi hiki ? ngoja nitafute moja niondoe kimavi,angalau watoto wangu waje kusimulia ukubwani .
 
Kweli maisha yamekuwa bora kwa kila mtanzania.
Yaani gari unapata kwa bei cheeeeeeeeeeeee
 
Wadau natafuta gari hizo apo ziwe katk hali nzuri bajeti yangu ni milioni nne pia mwaka kwanzia mwaka 2000


Suzuki Escudo.JPG
Nadhani unataka magari ya hapa hapa Bongo ambayo yashatembelewa mpaka yamechoka. Ila kama unataka kuagiza nje hiyo bei yako itabidi u-revise.
Hebu angalia kama unaiweza hiyo hapo juu nimekuwekea na CIF yake kabisa Dar port.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom