Wadau naomba msaada nata kufanya biashara ya kutengeneza vitambulisho vigumu(vya plastic)natafuta mashine yake naweza pata inauzwa sh ngap na wap zinapatikana na kama zipo za aina mbali mbali...
Habari zenu wadau,
kama wewe ni mtaalam wa kutengeneza logo nzuri kwa bei poa tuwasiliane,
tuma samples zako kwenye my email: aba.pelham@yahoo.com
tutafanya kazi pamoja na nitakuunganisha kwa...
Gari aina ya PAJERO GDI ipo vizuri bado
Reg #: T 85- AVN
Fuel: Petrol
Transmission: Auto,
Color: Silver
Odometer: 100,000 km
Location: Dar es Salaam
Price 8.5million Negotiable ...
SEM BUSINESS COMPANY:Ni kampuni iliyosajiliwa nchini Tanzania chini ya mamlaka ya usajili wa makampuni nchini Tanzania BRELA(Business Registrations and Lincensing Agency) chini ya kipengele cha...
nauza vista ardeo
imetembea km 45373
engine n vvti..cc 1800
Ni ya mwaka 2002
ina namba CGA
unaweza angalia attachment photo
niliagiza mwenyewe nimeitumia kama miez 7 haija wahi tembea nje ya dar...
Habari zenu ndugu zangu...nauza galaxy s3 mini mpyaaaaaaaaaaaa.....kwenye box lake with all its accessory..!!!
#if ur interested ni PM tufanye biashara
Ni msambazaji wa simu za Nokia orijino kwa mara nyingine tena, tunapenda kuwatarifu wauzaji wa simu wa rejareja ya kuwa tumekuja na mfumo mpya wa uuzaji wa simu na ununuzi, usafiri kwa mara ya...
Wadau bb curve 9300 nauza nimekwama kifedha bei ni 180000 tu,sim ipo ktk hali nzuri natumia mwenyewe ina mikwaruzo kidogo kwenye kioo,mwenye shida nayo anichek no.0766 78 66 20
Sent from my...
-Nauza kwa bei tajwa,
-imeundwa March 2012(kwa hiyo ni product ya kisasa)
-niliununua Nov 2012(Imetumika hardly 10 months)
-Storage ;320 GB
-processor; 1.60
-ram; 1 gb
-system type; 32 bit...
Wadau nauza bb curve 9300 nimekwama ipo vizuri tatizo ni mikwaruzo kidogo kwenye kioo,bei 180000 tu!kwa mawasiliano no.0766 786 620
Nimeshindwa kuchukua picha maana ndiyo naitumia kwa tangazo ila...
Habari wadau wa JF nahitaji kununua kiwanja kiwe na ukubwa wa kuanzia 25 x 25 hadi 40 x 40 maeneo ni kimara,mbezi hadi kibamba pia kikiwa maeneo ya goba au salasala kitafaa.mwenye taarifa kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.