inahitajika gari

inahitajika gari

gsmsolution2009

Senior Member
Joined
May 7, 2013
Posts
120
Reaction score
7
inahitajika gari aina ya saloon yeyhaliote iwe gx100.alteza.spacio.carina.au vitz iwe na hali nzuri isiwe imepata ajali au kupigwa rangi kama unayo ni pm..wale wanaojifanya wanajua kuongea nawaomba wakae kimya kama huna gari ya kuuza
 
Kuna jamaa ana Verossa hapa imesajiliwa haijawahi kupata ajali anataka 12. kama upo tayari sema
 
kuna vitz registration namba BZX inahitajika mil 5.7
 
pia iko NADIA kwa mil 8
cc 2000
color -silver metalic
BBG reg
 
inahitajika gari aina ya saloon yeyhaliote iwe gx100.alteza.spacio.carina.au vitz iwe na hali nzuri isiwe imepata ajali au kupigwa rangi kama unayo ni pm..wale wanaojifanya wanajua kuongea nawaomba wakae kimya kama huna gari ya kuuza

Kama bado hujapata gari nicheki kwa 0655003510 kuna vitz namba inaanza na B kwa 5.4 na starlet moja mpya namba inaanza na C kwa 6.6
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom