Nakodisha camera 500d ama nauza kwa kulipa polepole

Misa

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
838
Reaction score
135
Nakodisha hii camera aina ya Canon 500D ama nauza kwa kusaidia watu kwa kulipa polepole kila mwezi kidogo kidogo,ila jaman,wabongo ndio hivyo kwa utapeli tumejaliwa,mimi nina nia nzuri tu hapa,mtu naruhusu akope ila security nahitaji,
 
Attachments

  • Mick.jpg
    Mick.jpg
    33.8 KB · Views: 142
  • mick1.jpg
    mick1.jpg
    37 KB · Views: 130
  • mick3.jpg
    mick3.jpg
    10.4 KB · Views: 116
Nakodisha hii camera aina ya Canon 500D ama nauza kwa kusaidia watu kwa kulipa polepole kila mwezi kidogo kidogo,ila jaman,wabongo ndio hivyo kwa utapeli tumejaliwa,mimi nina nia nzuri tu hapa,mtu naruhusu akope ila security nahitaji,

Hapo kwenye security na wewe utaaminika?
 
Mimi ninaihitaji, kukodi bei gani kwa wiki? na kulipa kidogo kidogo ni kiasi gani kila mwezi? je upo wapi? namba yako ya simu?

Nakodisha hii camera aina ya Canon 500D ama nauza kwa kusaidia watu kwa kulipa polepole kila mwezi kidogo kidogo,ila jaman,wabongo ndio hivyo kwa utapeli tumejaliwa,mimi nina nia nzuri tu hapa,mtu naruhusu akope ila security nahitaji,
 
Misa ungeweka specification ili tujue kama ni mzigo wa ukweli au chai
 
Last edited by a moderator:
naomba unipigie simu 0768808819
 
naomba unipigie simu 0768808819

Sifanyi hiyo kazi kalale na kamera yako. Bei hujaweka. Specs hazipo. Unasumbua wateja tuanzs ku google wakati biashara ni yako.
 
Back
Top Bottom