Gimase Universal Trades Kwa Wakazi Wa MBEYA

Gimase Universal Trades Kwa Wakazi Wa MBEYA

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Habari wana Jf, Napenda Kuwatangazia Kua Ofisi yetu iliyopo maeneo Ya Mwanjerwa Mkoani Mbeya
Inapenda kukutaarifu kwamba Tunatoa Huduma zifuatazo kwa gharama nafuu sana,

HUDUMA TUTOAZO

Tunafanya Wire ring za Majumbani kwa Mkataba Maarum Utakaoujaza Ofisini kwetu na kukaguliwa na Mamraka husika kuhakiki ubora wa kazi, ili kurusu umeme kuingia katika nyumba yako.

Tunatoa huduma ya Dalali wa Nyumba, Vyumba vya kupanga
Tunatoa Huduma ya Kutengeneza Printer kwa ghalama nafuu sana
Tunawakaribisha kwa huduma Bora.

Kwa mawasiliano wasiliana kwa:-

0764870930
E-mail: Pozzyfaza@yahoo.com
 
Back
Top Bottom