Natafuta nyumba ya kupanga-Dar(Ubungo)

Natafuta nyumba ya kupanga-Dar(Ubungo)

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
207
Reaction score
78
Wadau habari zenu!
Kama kuna dalali au mdau yeyote humu ana nyumba anaipangisha au anafahamu nyumba inayopangishwa maeneo ya ubungo...please mnijulishe. Nahitaji nyumba yenye vyumba viwili vya kulala,sebule,dining,jiko,choo cha ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom