jamani wadau nimejichangachanga nimepata milioni 10, na nataka kuagiza gari(Subaru forestara0 kutoka japan ya mwaka 2005 na cc 1999. je itatosha? naombeni ushauri wenu wadau. naatanguliza shukrani
Model: HP 650 Notebook
RAM: 2GB
HDD: 320GB
Processor: Intel(R) Celeron 1.8GHz@ Dual Core
Webcam
Bluetooth
Card Reader
Designed for Windows 8(Supports other OS's like Win 7/XP, Linux etc)
Price...
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Sasa ivi natumia NOKIA E72. So, hii NOKIA 2700classic nataka niiuze. Cha kubadilisha kwenye hii simu labda ni housing tu, tena hata hivyo haijaisha sana. Ila unaweza ukaibadilisha ukipenda. Weka...
wakuu nauza viwanja vyangu viwili vyenye ukubwa wa ekari mbili kila kimoja! Viwanja vipo bagamoyo mkoa wa pwani,. Bei ni shilingi milioni moja na nusu kwa kila ekari moja,. Tuwasiliane PM.
Heloo,nauza simu tajwa hapo juu ,,kwa anaeihitaji aniambie ,iphone 4 white ni simu iliyotumika one wiki yaani ni kama mpya kabisaa,,
Iphone 4( laki 9 bei itapungua) and blackberry n laki tatu(bei...
Vipo upande wa kushoto mwa barabara iendayo Bagamoyo na umbali wa km 2 na nusu toka barabarani. Viwanja vina ukubwa wa mita za mraba tafauti tofauti. Vimepimwa. Bei shilingi 7500 kwa mita moja...
Ipo Boko upande wa kushoto katika Barabara inayoelekea Bagamoyo. Ipo karibu na nyumba za Shirka la nyumba la Taifa-NHC-BOKO. Ina vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebure na baraza la kulia chakula...
Pata software mahiri itakayokusaidia katika kutengeneza BUSINESS PLAN nzuri inayoeleweka na inayopendeza na yakuvutia software hii ina feature mbalimbali nzuri pia ina financial tools zote...
Naomba msaada kujua wapi nitapata genuine water pump kwa hapa Dar. Kwa ajili ya ku-pump maji toka kwenye kisima kirefu (inatakiwa ya kuzamisha kisimani). Nitashukuru kupata specifications zake na...
Mteja wangu anahitahitaji eneo hilo liwe na uwezo wa kuchukua washirika au waumini 800 kwa wakati mmoja. Liwe maeneo yafuatayo:Masaki,Osterbay,Msasani, Mikocheni, Mwenge au Sinza. Mawasiliano...
Nauza hiyo simu 200,000 tu wanaJamvi, ukiangalia ktk zoomTZ kuna watu wanauza hy simu 250,000 na kuendelea, mwenzenu nisaidieni nipate ada maana HESLB Majanga tu, 0717 701778
picha zaidi...