Sasa ivi natumia NOKIA E72. So, hii NOKIA 2700classic nataka niiuze. Cha kubadilisha kwenye hii simu labda ni housing tu, tena hata hivyo haijaisha sana. Ila unaweza ukaibadilisha ukipenda. Weka bei, ikiniridhisha tufanye biashara.

nzur hyo cm nimewah kuitumia inatosha kwa matumiz madogo
Sawa sawa ndugu, hii simu nzuri sana. Mi nilikuwa nayo ila wakora wakanichomolea. kwa sisi tunaopenda kuwa online kila inatufaa sana. Net take imetulia si mchezo.
anaehitaji nokia E6 aniPM
Japo ni 2g ila ina voicekomandi yani unataja 2 jna la m2 kwenye 4nbuku inapiga yenyewe :