iphone 4 white and blackberry 9380

iphone 4 white and blackberry 9380

Madam zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2013
Posts
221
Reaction score
18
Heloo,nauza simu tajwa hapo juu ,,kwa anaeihitaji aniambie ,iphone 4 white ni simu iliyotumika one wiki yaani ni kama mpya kabisaa,,
Iphone 4( laki 9 bei itapungua) and blackberry n laki tatu(bei haipungui)
 
iphone 4 kwa laki tisa!!!!! teh teh teh teh teh
 
iphone 4s mpya dukani laki 8, sembuse hiyo iphone 4! tena used
 
Ndomana ukaambiwa bei inapungua and sio lazima ununue ww waachie wenye nazooooo wanatiririka tuuu

Wenye nazo wanatiririka wapi? Usiwe mbishi ndugu bei ya simu dukani kwenye box hadi laki 7 unapata sasa kwanini mtu aje akupe laki 9 wewe ambaye hata sijui kwanini unauza?
 
Wenye nazo wanatiririka wapi? Usiwe mbishi ndugu bei ya simu dukani kwenye box hadi laki 7 unapata sasa kwanini mtu aje akupe laki 9 wewe ambaye hata sijui kwanini unauza?

We kiswahil kwako n kigumu tuongee kizaramo huenda ukanielewa
 
i phone 5 mliman city ni laki tisa na nusu ww unauza iphone 4 laki tisa duuuu we noma hahaha
 
Nahisi alitaka kusema 900,000. Kwa zote mbili. (Iphone na blackberry)
 
Hii biashara n yangu mm naish mjini kwa kuuza simu sasa manenomaneno yanatoka wap?we kama huwez kununua kaa kimya jaman hafungwi mtu kununua (hii ndo biashara yang hapa mjini)kwakurekebsha tu blackberry n laki 2 na nusu iyo ingne laki 8 bei ya mwishooo ,,muniwacheeeeeee miaka mia 9 mweeeee
 
i phone 5 mliman city ni laki tisa na nusu ww unauza iphone 4 laki tisa duuuu we noma hahaha

Tatzo kusoma hujui ukishaambiwa bei inapungua so uwage inaxomaga vizuri mwaego
 
Heloo,nauza simu tajwa hapo juu ,,kwa anaeihitaji aniambie ,iphone 4 white ni simu iliyotumika one wiki yaani ni kama mpya kabisaa,,
Iphone 4( laki 9 bei itapungua) and blackberry n laki tatu(bei haipungui)

iphone 4 used ni laki 350 mpaka laki 300..we subiri subiri utaiuza laki 2 hyoo
 
iphone 4 laki 9 ushaona wapi ndugu,mpya yenyewe adi laki 5 na nusu unapata sembuse used,iphone 5 mkonon n lak 7,jipange kaka,ww ndoo unajiita alafu wa mjini teh teh
 
Hivi iphone 4 bado zinatumika?hiyo kwa kukupendelea sana labda wakupe laki 3
 
Back
Top Bottom