viwanja bei rahisi!!!

viwanja bei rahisi!!!

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,607
Reaction score
28,627
wakuu nauza viwanja vyangu viwili vyenye ukubwa wa ekari mbili kila kimoja! Viwanja vipo bagamoyo mkoa wa pwani,. Bei ni shilingi milioni moja na nusu kwa kila ekari moja,. Tuwasiliane PM.
 
Bagamoyo kubwa mkuu... nyambulisha kidogo na je vimepimwa?
 
bagamoyo kutajengwa bandari na wachina, fulsa zitakuwa nyingi, ngoja tujisogeze huko.!
 
Fukayosi kuna umbali gani kutoka mjini? Miundombinu yake ikoje? Barabara,maji,umeme? Je kuna makazi ya watu wengine au pori?
 
bagamoyo baadae kutakuwa hot,kama mtu una uwezo wako ni vizuri kununua hata shamba,maana baadae unaweza ukaliuza kwa bei ya juu na kupata faida
 
eneo linaitwa fukayosi, si mbali na bagamoyo mjini mkuu!!!

Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4.

Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil?
 
Fukayosi mwaka Jana tulikua tunauziana mashamba, heka laki 4.

Leo mnauziana viwanja, heka 1.2mil?

Mkuu ardhi inaongezeka thamani haraka sana,baada ya miaka 3 huenda bei ikawa milioni 10
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom