Habari zenu ndugu wana Jamvi!
Tunatoa dawa na ushauri Kwa wale wenye matatizo ya vitambi na unene,
Mteja atakuwa chini ya uangalizi mpaka hapo tatizo lake litakapokwisha,
Huduma zetu zinapatikana...
Wakuu,
Tunauza nyumba yetu iliyopo Tandale hatua 40 kutoka soko kuu la Tandale Dar Es Salaam, ipo barabarani kabisa mkabala na kanisa katoriki Tandale.
Kabla Ilikua inatumika kama hoteli...
Ndugu wana jamii nauza gari yangu yenye sifa hizo hapo juu, gari hii nimeagiza mwenyewe kutoka Japan mwaka jana na document zote ninazo, haina tatizo lolote lile, na haijawahi kupata ajali...
Ninatafuta mtu anayeweza kufunga mziki mkubwa, spika zenye uwezo mkubwa kama kwenye tamasha. Ni kazi ya siku moja tu.
Kama kuna mwenye hiyo biashara tufahamishane, PM au weka hapa hapa.
Tafathali mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba kimoja tu cha kupanga mjini arusha ili niwe nafikia niendapo kibiashara ntashukuru.madalali pia humu janvini nisaidieni,napendelea kwa mromboo...
Wakuu mambo vipi nina s3 mpyaa kwenye boksi laki6, s4 mpyaaa kwenye boksi laki8, s4-mini laki6 na note 2 laki 750 iphone 4s kwa 500 with ios7 na iphobe 4 laki450 with ios 7 ur mostly...
Nyumba kwenye picha iko Pwani, Manispaa ya Kibaha, Bokotimiza (kilomita 4 toka Tumbi Hospital ina vyumba 4, iko kwenye ekali 2, umeme uko karibu sana pamoja na maji ya kuvuta, Kuna miti ya matunda...
hellow wanajamvi blackkberry bold 9900 inauzwa ipo vizur kihali ime2mika miezi 6 tuu kila k2 knafanya kazi vzur internet una2mia bila kujiunga na vifurushi maalumu vya blackberry yaaan ina2mika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.