Wanajamii nahitaj game latest kati ya fifa au PES ya soccer kwa ajili ya laptop yangu ya macbook pro... Mwenye nayo anicheki 0787 536 129. We can mek a deal on it, its urgent!!!
Habari wana jf, ninauza sabuni za mche kwa bei poa, ni nzuri, nyeupe na ina povu jingi hata kwa maji yenye chumvi kama ya Dar es salaam na sehemu nyinginezo.
nauza jumla na lejaleja. kama unataka...
kiwanja kinauzwa kipo nganje mkulanga kina offer kabisa mil 6,700,000, kingine pugu kwenye mradi wa viwanja 20000 vya serikali kina hati bei 9,000,000.
kwa mawasiliano tuma ujumbe kwenda...
Nauza Gari AINA RAV4 L, mkanda wake mwaka 2000, rangi yake ni nyeusi.
Iko katika hali nzuri na imekua ikiendeshwa na mwanamke.
Bei yake million 11.
Sababu ya kuuza: nimeagiza gari nyingine ...
Habarini marafiki
Ninauza vitabu vya dini aina ya IFAHAMU MSINGI YA SIFA NA KUABUDU
na kitabu cha TENZI ZA ROHONI KWA BEI NAFUU ambayo ni Tshs 5,000@1
na Kitabu cha WOGA kiko kiwandani bado...
Habari gani wakuu,
Kwa mara ingine tena,niko viwanja vinne ambavyo viko maeneo ya londoni singida ,maarufu kwa uchimbaji wa gold.
kwa ambaye atakua interested,tunaweza tukaamua kufanya ubia,na...
GARI IMEWEKWA RIMU ZA SPORT (ALLOW RIMS)INSURANCE NI COMPREHENSIVE MPAKA 7/2014.IMEMILIKIWA NA MTU MMOJA TU!TANGU ITOKE JAPAN.
Toyota :CELICA
Model :TA-ZZT230
Engine Size: 1,790cc...
Samsung Nexus S inauzwa Bei 230,000. Mawasiliano 0787577755 au 0717577755.
Specification zake hizi hapa chini!
us
S review: Royal droid
Read opinions
Compare
Pictures
360° view
Related phones
In...
Imetumika kwa miezi miwili ipo kwenye condtion nzuri (CAUTION INATUMIA LINE YA TIGO TU)
Specification÷
4-inch 480 x 800 pixel screen
4GB storage, 800MB
accessible
Android 4.1 with custom UI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.