Nauza heavy duty photocopy machine (Canon IR 2230)

Nteko Vano

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
434
Reaction score
113
Heavy duty photocopy machine Canon IR 2230. Bei yake ni Tsh. 1,400,000, punguzo litakuwepo. Ipo katika hali nzuri, ninaiuza kwasababu nahitaji kuanzisha biashara nyingine. Napatikana Dar. Karibu.
 
Mpya au imetumika, kama imetumika umeitumia muda gani?
 
Mkuu imetumika, nilinunua mtumba na nimeitumia kwa miezi 2. Kwa kuzingatia hayo, ndio maana bei nimeshusha. Karibu
 
Back
Top Bottom