Hess
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 593
- 675
Kiwanja kinauzwa kiko eneo la Mbezi Tangi Bovu njiapanda ya kwenda Goba. Kiko karibu na eneo la NECTA. Kimezungushiwa fensi ya ukuta kozi 4. Kina ukubwa wa mita 25x25. Hakijapimwa lakini kiko eneo la Makazi ya watu. Umeme upo hadi getini. Bei ni Milioni 12. Kwa anayehitaji tuwasiliane tuongee. Piga 0717-237845. Sihitaji Dalali. Karibu.