TANGAZO TANGAZO KWA WALIMU WANAOHITAJI KUJIENDELEZA.
KAMPASI YA ADEM MBEYA IMEANZA KUTOA MAFUNZO YA 1. DIPLOMA YA UONGOZI WA ELIMU (DEMA/DELMA)
2. DIPLOMA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE (DSQA) KWA...
Jipatie Magic pen ambazo zinauwezo wa kuandika na kufuta iwe kwenye kaaratasi ya kawaida, karatasi ngumu (bodi paper) , inafuta pale ambapo umekosea ni bora na za kisasa zinapatikana Kitunda - Dar...
Wana JF nauza hivo Vifaa;
-Kabati kubwa ngazi tatu
-Jiko la Motor linalotumia chenga za mkaa
-Jiko la mkaa la kuchomea viaz la kawaida
-Jiko la mishikaki
-Meza ya kuweka Kabati
-Makalai mawili ya...
Habari wakuu, kwa wale ambao ni wapenzi wa simu za kizamani ( Old School ) za button na za touch, ninauza Spare za hizo Simu, kuanzia mikanda, Speakers, mic, slot za SIM card, na vioo.
Models...
Karibu nikuunge na WiFi ya hapa dukani kwangu yenye speed ya 30Mbps/s ushushe files utakazo kwa gharama nafuu. Napatikana Ilala, shauri moyo.
Gharama ni Tsh elfu 5 kwa GB 10 kwa kutumia computer...
Subaru xt
CC 1990
Full ac
Full doc
Gari inaviwango vyote, gari haihnunuliwa mkononi gari imeagizwa kutoka japan, colour blue, usajili namba DN, imekaza sana.
Inataka mil 16.5
Location, picha...
Moka Pot Espresso Coffee Maker. 3Cups. 65,000/=.
Electric single hot plate 40,000/=
Mkoani(Nje ya Dar) utachangia usafiri
Tshs 10,000/= tu.
0715 240 140.
Nisiwachoshe husika na kichwa habari hapo juu,
Naitoa hii gari bila kuwepo kwa dalali wala mtu mwingine wa kati na biashara nataka iwe ya uwazi kwa kila member kuweza kuchangia na kutoa ushauri...
ENEO LA UCHIMBAJI WA DHAHABU (MGODI) LINAUZWA MKOA WA TANGA
Eneo lipo wilaya ya Handeni Mkoa wa Tanga na lina ukubwa wa Hekari 330.
Eneo lote limepimwa na hekari 165 zina hati ya wizara (Title...
Hellow guys kwema?
Ninauza laptop ya Samsung, Ram 4GB, processor 1.5ghz, HDD ~500 GB, haikai sana na chaji unachomeka moja kwa moja ukutani, Price ni 200,000/
Contacts: 0759~124378
Nipo Mbezi...
Vitz engine ya IST
Gari kali sana
Rim sport
Inataka 3.9
Safari popote
Nipo nayo Kibaha
0744757738.
0744757738
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.