INAUZWA Pikipiki TVS inauzwa (Engine capacity 125)

Zitendwa

Member
Dec 18, 2021
13
6
Ilinunuliwa February, 2019, mwezi September, 2019 ikapata ajali. Tangu ipate ajali hakuna matengenezo yoyote yaliyofanyika, kwa muda wote huo ipo ndani.

Ina nyaraka halali.
Inapatikana Dsm.

Njoo na ofa yako tuzungumze.

TVS.JPG

Marekebisho: Engine capacity ni 150 na sio 125.
 
Elezea baada ya ajali kitu gani kilipata madhara ili nikija na offer yangu nizingatie hayo madhara. Siwezi kujihukumu bila kufahamu hali halisi ya pikipiki. Kuna nyingine huwa zikipata ajali haziharibiki sana na kunanyingine kama hiyo yako
 
Mkuu, nafikiri kama una nafasi unaweza kufika uikague na kuitathmini mwenyewe. Baada ya kupata ajali niliipiga pin biashara hii nikaamua kuiweka ndani.

Hivyo sasa nimeamua niiuze tu.

Karibu sana.
 
Unaonaje ukairekebisha aalf ukaiuza?
Kwa sisi wazoefu wa pikipiki hapo ni kubeti maana kama chuma haijatembea toka 2019 alooo na mbaya uliiacha na oil yake hukuchukua hatua zozote inamaana mazaga ya ndani huenda yashakua mfu
 
Asante kwa ushauri wako mkuu.

Ningeuchukua ushauri wako, unfortunately mfuko hauko vizuri. Atakayehitaji kuinunua ataikagua na kunipatia offer yake, ikiwa ni pamoja na estimation ya gharama zitakazotumika kuirepair.

Karibu.
 
Sawa ila hongera pia kwa kua mwana jf wa kwanza kuwa muwazi kwenye swala la pesa mfukoni waliobaki woote ni matajiri kasoro mimi tu
 
Back
Top Bottom