Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Amani kwenu wadau... Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Habarini naitaji kiwanja au shamba lenye ekari 1 kwa tsh. 500,000/= maeneo ya ukuni bagamoyo au popote bagamoyo pls kwa aliyenacho anijulishe kwani ni muhimu sana. aniPM Itakuwa vyema pls
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nahitaji music system inayoeleweka, iwe used au mpya ilimradi iwe katika hali ya kueeleweka,..... Yoyote alionayo please, naomba ani habarishe specs zake pamoja na dau lake. asante
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuna design ramani za nyumba za aina mbalimbali,tunapatikana survey karibu na mlimani city Dar-es-salaam,hapo chini ni sample ya kazi ambazo tumefanya. kwa mawasiliano 0713450840...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Wadau wa jamii forum yeyote mwenye details za hii kitu naomba anikokotolee.Nitashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau kwa yoyote mwenye kuza pkpk ndogo sanlg (yani marufu kama kibao chambuzi) namba iwe c bei elekezi laki 7 naitaji nitashukuru hikiwa imetumika miezi 5,6 au 7 natanguliza shuklani wadau 0712690760
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kuna yeyote anayeuza au anafaham anayeuza kitanda main campus ani pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji line ya tigo pesa na mpesa
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale wenye campuni au wanabiashara na wanahitaji kutengenezewa website zao, tupo kwa ajili yako,,, tunatengeneza website kwa bei nafuuu,, na wale wanahitaji kujifuza lugha mbalimbali Kama...
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Iko Poa sana rangi Nzuri na Ingine haijaguswa! Ina killometre 77345
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Lets make life easier guys, najua wengi wetu tumewahi kukutana na changamoto katika utafutaji wa nyumba za kuishi, kununua, ofisi za kupanga, hostel, nyumba za kufikia ugenini, na hata kutafuta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waheshimiwa habari zenu, Kuna samsung netbook original hapa inauzwa bei poa MODEL ni NP-N102S, ina processor ya 1.64GHZ, RAM 1GB, WIFI, WEBCAM, CARD READER, BLUETOOTH, WINDOW 7 PROFESSIONAL...kuna...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Nauza samsung galaxy note 10.1 Imetumika miezi 5 Angalizo:kwa anaependa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta suzuki pickup carry .iliyo kwenye hali nzuri .na inayopendeza.naitaji haraka mwenye nayo anayeuza tuwasiliane 0713959290
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nataka kujua bei ya Rav 4 ya mwaka 1998 au 1999 na labda tofauti yake nini naomba wazoefu wa magari wanielezee please I'm interested to buy that particular type of a car...!!! Regards, Jonathan.
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Naombeni mawazo na ushauri wenu Wana JF:- Natarajia kuwa na harusi mapema wiki ya kwanza ya Desemba 2013. Plan yangu ni kuwa na shughuli ya watu kati ya 100 na 120 na nina bajeti ya 5M. Nimejaribu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii.nafuta sim iwe smart phone mfano Samsung galaxy series au iphone 1 to 4 nokia au htc
0 Reactions
11 Replies
1K Views
wakuu pole na majukumu, nipo katika mchakato wa kuanzisha photo studio Dar es salaam (itakuwa ni medium). Studio hii itajishughulisha na upigaji picha portraits kusafisha na kuuza photographic...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana Bodi baada ya kuzunguka zunguka nimepata wazo la kufyatua tofari na kuunza,baada ya kuona Tasnia ya ujenzi inakua kwa Kasi,nilikua naomba kujua je ni wapi nitapata Mashine za kufyatua...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauza HTC Chacha used lakini ipo kwenye condition nzuri.. Tsh. 160,000 tu... Contact: 0716880022
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…