Photo Studio Equipment vinahitajika

Photo Studio Equipment vinahitajika

arnolds

Senior Member
Joined
Oct 10, 2009
Posts
105
Reaction score
57
Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo points vile). nahitaji vifaa kama digital camera (canon EOS 60D), Tripod stands, lighting kits, backdrops/backgrounds, photo printer nk..
nashukuru kwa msaada wenu!.
 
Nipe brand na model ya kila unachokihitaji nikuangalizie UK Mkuu!
 
habari mkuu,kama unahitaji na programs za ku edit picha nitafute,pia nina windows za aina mbalimbali..simu 0652835909 Dar
 
Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo points vile). nahitaji vifaa kama digital camera (canon EOS 60D), Tripod stands, lighting kits, backdrops/backgrounds, photo printer nk..
nashukuru kwa msaada wenu!.
Amani kwako na jamii,
Nenda FONESHACK ipo Mlimani Mall, Quality mall na shopprite kamata 90% ya mahitaji utapata huko. vingine weka order zako watakusakazia. Good luck
 
[h=1]NEW Canon EOS 60D SLR Camera + 4 Lens Kit 18-55mm IS 75-300 + 24GB Full Kit - USD 1,800[/h]
 
mkuu ulifanikuwa kupata? mimi natafuta backgrounds

Amani kwenu wadau...
Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za kila siku. naomba msaada kwa yeyote anayefaham
sehemu ninayoweza kupata vifaa vya studio ya picha (kama photo points vile). nahitaji vifaa kama digital camera (canon EOS 60D), Tripod stands, lighting kits, backdrops/backgrounds, photo printer nk..
nashukuru kwa msaada wenu!.
 
kama unahitaji canon eos1000d niambie haraka sana , canon eos 60d ni old version bei yangu ni sh 850000
 
Usimdanganye 60D iko juu na inashoot video pia hata bei iko juu sana ya 1000d ingawa 1000d ninzuri name inaview finder ya pembeni.
 
NEXTLEVEL huyo jamaa naona hajui kamera 60D utalinganisha na 1000D,kwanza hata bei ya 60D kama ulivyosema zipo juu
 
Da camera na lens bongo ni bei kubwa sana,utakuta lens si chini ya 1m, Speedlite(flash)TZS 480000,camera za kawaida kama,Canon 650/600D TZS 1900000.Editing software TZS 300000
 
Back
Top Bottom