Natafuta kununua suzuki pickup carry

Natafuta kununua suzuki pickup carry

nshimbah

Senior Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
111
Reaction score
14
Natafuta suzuki pickup carry .iliyo kwenye hali nzuri .na inayopendeza.naitaji haraka mwenye nayo anayeuza tuwasiliane 0713959290
 
Bajeti yako kiasi gani? Unahitaji yenye 4WD? Jazia nyama kwenye specs.
 
Natafuta suzuki pickup carry .iliyo kwenye hali nzuri .na inayopendeza.naitaji haraka mwenye nayo anayeuza tuwasiliane 0713959290

Kwa ushauri ni bora kuagiza au kununua yard kuliko iloyotumika hapa kwetu hizi gari ni delicate zinahitaji nidhamu ya juu kuzimantain
 
Nimekuelewa mkuu.nitajaribu kuangiza toka japan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom