Nahitaji music system inayoeleweka, iwe used au mpya ilimradi iwe katika hali ya kueeleweka,.....
Yoyote alionayo please, naomba ani habarishe specs zake pamoja na dau lake.
asante
ipo kwa jamaa yangu Sharp moja MODEL HT-CN9390DVW Q HOME THEATER WATTS 1200 inapiga kinoma imetumika miezi 2 tu box remote vipo price 750,000. Call 0752734209
Bila box itakua sh ngp?!
[/QUOTE]afu ndo uko nyumba ya kupanda na mdingi mwenye nyumba mkorofiiiii duh!? akiiona tu unaiingiza ndani kesho yake notisi tena ya masaa 12
QUOTE=CYBERTEQ;7616489]View attachment 117679
KLIPSCH THT Ultra II
26M (Millioni ishirini na sita tu)