Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau JF. Naombeni kufahamu hasa kwa wale ambao walishajenga nyumba zao. Je ni lazima kupata kibali wizara ya ardhi kabla ya kua.za kujenga nyumba ndogo eg.family house? Kama ni ndiyo je ni maeneo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Swalama wakuu Kuna Samsung Galaxy tablet 2 ninauza kwa 430,000/=. Kwa yoyote atakae kua tayari tuwasiliane kwa 0762193767.(sms/call) Mazungumzo yanakaribishwa. Ina specs zilezile kama tablet ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta nyumba ya kupanga, vyumba 2, jiko, sebule, choo/bafu ndani ( self contained two bedrooms house) hapa Dar es salaam. Maeneo nipendayo ni Mikocheni, Kawe, Mbezi ya Tangi bovu, na Tegeta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Double J ushering services inatoa huduma ya wahudumu wazoefu na sanifu kwenye shughuli mbalimbali. Wahudumu hao wataifanya shughuli yako iwe nzuri na ya kuvutia kwa wageni waalikwa. Shughuli hizo...
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Ram ddr2 512mb,533 n cl4 Nauza nipo dar bei maelewano txt 0656063933 or pm
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Habari wana JF Samsung Galaxy S2 na S3 originals zinauzwa kwa bei poa. s2 ni kwa 420,000/= na s3 ni kwa 615,000/= Zote ni full boxed. Kwa serious buyers only, piga 0714-034174.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau, mimi nina hitaji betri ya samsung galax s4 mwenye nayo au anayejua wanapouza naomba ani PM!!
0 Reactions
0 Replies
766 Views
simu iko katika hali ya upya imetumika kwa mwezi tu inakwenda kwa laki tatu na nusu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wadau, Nakuja kwa mara nyingine, mara nyingi nilikuwa naangalia haya malori ya kusafirisha bidhaa mikoani na nje ya nchi. Kwa mwenye ufahamu wa hii biashara naomba mnielekeze mtaji...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwenye hizo simu aina ya tecno p3 anipigie 0716797416 ziwe mpya
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Transcend 1TB price 160000 contact 0759149202
0 Reactions
7 Replies
983 Views
Archos tablets ni mpya ,zina 7 inch 3G,black,zinatumia sim card,wi-fi na modem.Ninazo 3 kila moja 370000= 0713 404014
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza laptop mpya Dell inspiron 1545 duo core 2.10ghz 2.10ghz , RAM 2gb, hdd 250gb, ina webcam, betrie 3hrs. Bei 450,000 kamili Anayehitaji anipigie: 0769142586
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtambo wa kutafiti madini ya gesi, mafuta na madini mengine mfano almasi, dhahabu, makaa, na vito vingine ndani ya ardhini kwa umbali wa zaidi ya 1500km chini ya ardhi unauzwa ukiwa katika hali...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
leo nimetembelea mlimani city Kwenye punguzo la cm pale wanauza simu bei kubwa sana tofauti na kule ndani. simu inayouzwa Kwenye punguzo 37000 basi Kwenye maduka mengine ni 32000 Nokia ya tochi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
laptop dell yenye sifa zifuatazo:RAM 4GB, 500MB, processor intel core...i5, 2.5ghz, bei ni poa tsh ,600,000, mawasiliano 0713339910. imetumika takribani miezi miwili.
0 Reactions
4 Replies
966 Views
Wadau nataka kuchange fedha za kigeni(euro) mida hii niende wapi? Nipo dar posta hapa Kidogo tu za kumalizia wikiend
0 Reactions
7 Replies
1K Views
14 hectares of land located near ifakara health institute at bagamoyo (dar es salaam/ tanzania) price: Tsh-650million (negotiable) contact below number for more information kwa swali lolote...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
MAFUNDI UMEME WA MAJUMBANI NA OFISINI WANAFANYA WIRING NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA UMEME KAMA: HEATERS RICE COOKER JIKO FENI PASI,n.k Wanapatikana Nyegezi,Mwanza: 0756917972 KARIBUNI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF! Mzigo mpyaaaaaaaa Samsung Galaxy S4 iko sokoni! Check Picha hapo kwa reference zaidi! Bei: Tshs. 600,000/- Haina udalali hiyo! Contact: 0776443644
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom