Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
habari wakuu, kitu hii inaendelea na kazi vizuri sana, mmiliki wake anaama dar kikazi so usimamiz ataweza akiwambali, ipo sehem changamfu sana bei kwa jumla milion 2.5 plus kodi ya miezi 8 mbele imelipiwa, ubungo mwenye kupenda ani PM kwa melezo zaidi.