Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Material ni ngozi, Ni imara na vinadumu Bei 15,000
1 Reactions
36 Replies
2K Views
TREKKING ADVENTURE ACROSS MOUNT KILIMANJARO AND MOUNT MERU Welcome to African Yellowstone Safari, where we transform your travel dreams into extraordinary, once-in-a-lifetime adventures. As a...
2 Reactions
1 Replies
483 Views
Habari wakuu, Nina vikombe vya udongo takriban 200 hapa ofisini naviuza. Chukua kuanzia 10, update kwa elfu 14500 TU. Call 0628731833
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau natafuta Generator Used from Dubai/New Brand iwe Honda EG 1000, iwe katika condition nzuri Niweze kuitumia kwenye kibanda umiza changu. Kama Hautajali Tafadhali nicheck WhatsApp...
2 Reactions
0 Replies
463 Views
Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa 0685141035
3 Reactions
16 Replies
841 Views
District Real Estate Workshop ni kozi maalumu kwa wanachama wa makundi yetu ya TZ REAL ESTATE TEAM (TRT) kwa ajili ya kuchambua taarifa na maarifa kuangazia fursa zipatikanazo katika wilaya...
1 Reactions
1 Replies
540 Views
Kiwanja kipo maramba mawili eneo la king’azi, ukubwa 23 kwa 20, Sifa ya kiwanja 1. Kipo sehemu nzuri, karibu na Barabara ya mtaa ya gari, 2. Hakipo mbali na Barabara ya tanroad inayotokea maramba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari za majukumu, Wakuu nauliza kwa Dar naweza pata wapi kiwanja kizuri walau sqm 600 kwa hapa Dar es Salaam kwa bajeti ya 9m mpaka 15?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nauza kuku aina ya saso umri miez 3 Bei 12000 location tanga korogwe Mikoa jiran wanakufkia ninao 85 Mawasliano 0682060425
4 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Fukwe za Ziwa Nyasa 2. Ziwa Ngosi 3. Kawetere view point 4. Ziwa Kisiba 5. Maporomoko ya maji Kaporogwe 6. Mpanga Kipengere game reserve 7. Hifadhi ya taifa Ruaha Unaweza kuongeza...
8 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari, Nauza Kabati la nguo, tv stand, sofa na subwoofer Kabati la nguo 120000 Tv stand 30000 Sofa 40000 Subwoofer 40000 Vitu vipo mwananyamala biashara complex Nipigie +255719073206 Note...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za leo, Inahitajika asali; mwenye kufahamu wapi inapatikana kwa wingi hapa Tanzania, na bei tuwasiliane PM.
2 Reactions
3 Replies
909 Views
Karibu tukupatie VFD kwa bei ya punguzo kwa mwezi huu wa kwanza (January 2023). Bei ya kawaida ni 300,000/= ila kwa mwezi huu wa kwanza tutakuuzia 280,000/= VFD ni mfumo unaokuwezesha kutoa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Natafuta shamba eka 15+ maeneo ya Fukayosi, Kiwangwa na jirani na huko. Requirement liwe linafikika kwa gari hata kipindi cha mvua na pawe na uhakika wa maji ya kuchimba kwa...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Aina changamoto yoyote naitumia mimi ndani ina pad zote mbili
1 Reactions
2 Replies
328 Views
SERENGETI FREIGHT FORWARDERS LTD WAZEE WA KAZI GOOD NEWS FOR ALL UNATAKA KUNUNUA GARI UK? USIUMIZE KICHWA CHAGUA GARI SEHEMU YOYOTE UK HALAFU TUTUME SISI TUKALIKAGUE USINUNUE GARI BILA...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
1 Reactions
169 Replies
17K Views
Wazee naitaji Cha PC ya Nokia booklet
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…