Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

jamani kwa mtu mwenye mkanda wa laptop 1420 anipigie simu kwenye no: 0717244446 nimehangaika sana huku moshi bila mafanikio kwa hiyo naomba tufanye biashara na watu wa mikoa mingine nadhani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf habari za saa hii. nauza sim tajwa hapo juu ni nzima na ipo ktk hari nzuri.... 12gb na 1 gb of ram...... kwa anaehitaji aniwasap au sms 0654715457
0 Reactions
7 Replies
984 Views
kama unauza simu tajwa hapo juu tufanye biashara..nipo DSM 0768497592
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nauza kioo cha laptop Compaq presario cq 61 bei maelewano, laptop imekufa motherboard nauza kifaa kimojakimoja
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jamii habari za Jumamosi! Nauza vitu vifuatavyo, kwa mwenye kuhitaji, 0717210880: Piki piki au Boda boda, hii imetumika, ilinunuliwa mwezi June, 2013, ipo ktk hali nzuri na inaendelea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya! Nauza magari townace na Suzuki cultus. Bei mil 11 yote mawili. Townace details: Maker: Toyota Model: Townace Transmission: Automatic Mileages: 108000km Seat...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni used Dell Inspiron 1545 intel celeron 2.0ghz 160gb hdd 2gb ram DvD Rw wifi webcam windows 7 15'6 Led screen 4hrs batry bei 350,000;=Tshs nichek 0716-844978
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dell latitude E6400 Core 2 Dual 2.26 GHZ RAM 2GB HDD 160GB Light on keyboard Bei: 320,000/ TSH. Zipo kumi tu! Changamkia Offer. Call: 0716 731205
0 Reactions
2 Replies
1K Views
naomba msaada wa kujua laptop nzuri aina toshiba na bei zake
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Htc 7 trophy...window phone 7.8 iko ktk hali nzuri sana....mwenye uhitaji 0764731318
0 Reactions
3 Replies
869 Views
Nipo dar es salaam, nahitaji at least iwe 32 inches a good brand na iwe mpya...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Kiwanja kipo kinzudi marobo ukubwa 600sqr,barabara ipo umeme upo umbali wa km1. Bei mil.8.5 call me 0656063933
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza bajaji 2stroke iko safi kabisa,nauza kwa sababu nataka niongeze hela ninunue TVS,bei tsh 800,000,mawasiliano 0756666890
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ram 2GB speed 2GHZ HDD 300GB Alafu nahitaj SAMSUNG MINI LAPTOP nyeusi inayotumia na Solar Power kwa Tshs 400,000
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Used dell CPU used bado ipo safi kabisa haina shida yoyote. Ina specificaton zifuatavyo: Model: Dell optiplex 170L Ram: 512GB HD:80GB Processor: 3GHZ Txt 0656063933 or READ MORE HERE DOUBLE (A)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Odometer 80000 Ndo imekuwa registered rangi silver Bei 9.3M kwa anayekitaka chombo anipm
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu kwa mpigo natafuta supplements kwa ajili ya kujenga misuli.nipo dar kwa anayefahamu zinapopatikana anaisaidie... PM kwa mawasiliano zaidi. NB: mahubiri yahusuyo madhara na mizaha...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu.. Nahitaji nokia e series yoyote kwa haraka mwenye nayo aniambie na bei.. Au kama unaweza nitext kwa namba 0758158730
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri wa printer imara,bora na inayoweza kunisaidia kibiashara yan kwa faida bei yake iwe chin ya mil moja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Are you aware of these facts and opportunities for individuals and entities that are available within Perfect Internet Inc., a member driven global website based in Las Vegas, USA? Perfect...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom