Kuna watu ukiwaambia Kibaigwa au Nyanguge au Shangalai au Mbalizi inakuwa ngumu kuelewa ndio maana walimu wetu kupitia jiografia wakatupa utaratibu wa kutaja Kitongoji, Mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya kisha mkoa, embu rekebisha uzi wako kwa kuweka maelezo ya kujitosheleza ili mtu akipiga simu ni kufanya makubaliano ya namna ya kununuaKiwanja kipo kinzudi marobo ukubwa 600sqr,barabara ipo umeme upo umbali wa km1. Bei mil.8.5 call me 0656063933