K kaka miye Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 172 Reaction score 43 Jan 5, 2014 #1 naomba msaada wa kujua laptop nzuri aina toshiba na bei zake
BabuK JF-Expert Member Joined Jul 30, 2008 Posts 1,845 Reaction score 330 Jan 5, 2014 #2 computer zimefikia kiwango cha kuwa na uwezo unaofana kwa specs zinazofanana. Mahitaji yako na uwezo wako ndivyo yatakayopelekea uchaguzi wako. Kwa mwanga zaidi ebu bofya hapa.. Compare Different Laptop Computer Reviews, Features, and Laptop Ratings Kila la heri. Kuhusu bei hii hapa link.. http://www.amazon.com/gp/top-rated/pc/565108
computer zimefikia kiwango cha kuwa na uwezo unaofana kwa specs zinazofanana. Mahitaji yako na uwezo wako ndivyo yatakayopelekea uchaguzi wako. Kwa mwanga zaidi ebu bofya hapa.. Compare Different Laptop Computer Reviews, Features, and Laptop Ratings Kila la heri. Kuhusu bei hii hapa link.. http://www.amazon.com/gp/top-rated/pc/565108