Toyota Land cruiser II,year 1994,imported from japan,CC 4164,engine 3L,colour White gray,5 door,linatembea na lipo katika hali nzuri.bei mil. 11 maelewano yapo. namba zangu 0714809045
Toyota Landcruiser short chasis ya 1992 iko sokoni.
bei 6m.
gari ipo Dar, mnazi mmoja.
kwa atakayetaka kuiona au kwa maelezo zaidi PM au simu 0787-730813
Gari HONDA CRV mpya kwa Tanzania, imetolewa bandarini tarehe 27/12/2013, lakini used kule Japan ninauza.
Picha zinaionyesha gari hiyo.
Km ilizotembea 78000 Japan.
Kwanini ninauza: Nimebadili nia...
Ninahitaji mkopo wa kama milioni moja(1ml) tu halafu nirudishe kila mwezi kama laki moja(100,000) au tutakavyokubaliana. Ninafanya kazi na tutaandikishiana kupitia kampuni yangu au/na mwanasheria...
ina vyumba 3 kimoja master.ina choo cha nje kimoja.ina jiko.luku ya peke yako.Maji kwa jirani.full tairs.
Bei laki mbili na nusu.
Mawasiliano.piga simu 0768811075.
Nyumba
ya kisasa ya Vyumba 3, dining, vyoo vya ndani, jiko, sebule
inapangishwa Kigamboni magogoni km 3 kutoka ferry. Kodi ni sh. 300,000 kwa
mwezi, miezi 6.
Nyingine ni Nyumba ya Vyumba...
kwa wale wanaopenda drifting kaz kwenu,alteza hii ina gear7,speed 240. engine cc yake ni 1962, ni model ya mwaka 1999. serious buyers wanicheki kwa 0719
Inaweek moja tangu niifungue kwenye box lake,inakubal line ya tigo pekee,
Simu inakuja ikiwa full(+bettry+USB cable+charger+eaphone)
Being 140000
contact :0655674747....nipo kinondon DSM
Kwa...
Mimi ni muuzaji wa spea za magari na ni fundi wa magari, kwa sasa sina duka ila nafahamu sehemu nyingi ambazo zinauza spea aina tofauti za magari na nazijua aina nyingi za spea, hivyo...
Hello Ladies .....
Jipatie handbag Fashion (rangi za google) kwa bei rahisi sh 45 elf.
Please pepesa macho angalia rangi inakufaa/ matchisha na pamba zako and you will be looking blistering...
Wadau.. heshima mbele
naomba kufahamu bei ya soko kwa ekari moja ya ardhi ambayo haijapimwa ina ina hati ya mauziano... Morogoro-Kingolwira, upande wa Manispaa na umbali wa Km 2 toka barabara kuu...