Sony Xperia S LT26i

Sony Xperia S LT26i

Ayusema

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
549
Reaction score
189
Mambo vp??? Ebwana simu tajwa hapo juu yahitajika urgently if unayo ni pm tufanye biashara..... Offer 300-400 depending na ipo katika hali gani
 
Sasa 300-400 si ndio bado kidogo tu ununue mpya kwa nini ununue used nduu yangu kama una hiyo hela
 
Ushauri betri yake si nzuri sana...na ni ile ambayo huwezi toa
 
Sasa 300-400 si ndio bado kidogo tu ununue mpya kwa nini ununue used nduu yangu kama una hiyo hela

Mpya sh ngapi Nivea??? thanx kwa advice yako i will work on it.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom