M MKUDE BANZI New Member Joined Oct 21, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Oct 21, 2010 #1 Land cruiser II,engine 3L,colour white gray,5 Door,lipo katika hali nzuri bei ni million 11 ila maelewano yapo.
Land cruiser II,engine 3L,colour white gray,5 Door,lipo katika hali nzuri bei ni million 11 ila maelewano yapo.
mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 69 Oct 21, 2010 #2 ndugu kwa ushauri ukiweka na picha inasound fresh zaidi,
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 171 Oct 21, 2010 #3 Picha, imetembea KM ngapi, ya mwaka gani na imeingia lini Tz ni vitu vinavyohitajika hapa kama kweli unataka mteja
Picha, imetembea KM ngapi, ya mwaka gani na imeingia lini Tz ni vitu vinavyohitajika hapa kama kweli unataka mteja
M MKUDE BANZI New Member Joined Oct 21, 2010 Posts 3 Reaction score 0 Oct 21, 2010 Thread starter #4 poa watu wangu nipeni mda kidogo niweke picha na details zingine muhimu
Brooklyn JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 1,459 Reaction score 286 Oct 21, 2010 #5 MKUDE BANZI Junior Member Join DateThu Oct 2010 Posts2 Thanks0 Msameheni jamani, hajui taratibu za kuleta taarifa za biashara jamvini. Huyu ni mgeni, kaja tu kuuza gari yake afu asepe!!
MKUDE BANZI Junior Member Join DateThu Oct 2010 Posts2 Thanks0 Msameheni jamani, hajui taratibu za kuleta taarifa za biashara jamvini. Huyu ni mgeni, kaja tu kuuza gari yake afu asepe!!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Feb 5, 2014 #6 Pichaaaaa????????