Msaada wa haraka wadau

Msaada wa haraka wadau

newbie

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Posts
216
Reaction score
48
Ninahitaji mkopo wa kama milioni moja(1ml) tu halafu nirudishe kila mwezi kama laki moja(100,000) au tutakavyokubaliana. Ninafanya kazi na tutaandikishiana kupitia kampuni yangu au/na mwanasheria. Nina matatizo yamenipata na nahitaji sana msaada,niPM au email newbietz@yahoo.com au weka mawasiliano. Tusaidiane wandugu matatizo yanatukumba wote,au hata msaada wa wapi nitapata bila masharti ya hati za viwanja etc.
Asanteni sana.
 
Utaweka rehani (bondi) nini mkuu?
 
basi ngoja tuwasubiri wafanyakazi wa benki wenye saccos zao za kitaa
 
wewe ni mfanyabiashara kwanini unatumia yahoo email?!
 
Back
Top Bottom