Nyumba inapangishwa maeneo ya magomeni kondoa.

Nyumba inapangishwa maeneo ya magomeni kondoa.

Tearish

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
81
Reaction score
31
ina vyumba 3 kimoja master.ina choo cha nje kimoja.ina jiko.luku ya peke yako.Maji kwa jirani.full tairs.
Bei laki mbili na nusu.

Mawasiliano.piga simu 0768811075.
 
ina vyumba 3 kimoja master.ina choo cha nje kimoja.ina jiko.luku ya peke yako.Maji kwa jirani.full tairs.
Bei laki mbili na nusu.

Mawasiliano.piga simu 0768811075.

"full tairs" ndo nini mkuu. Na hicho choo cha nje ni cha shimo au?
 
Kaka ni typing error. choo cha nje sio cha shimo.
 
weka picha za choo sebule na masta kupunguza fujo.....
 
ina vyumba 3 kimoja master.ina choo cha nje kimoja.ina jiko.luku ya peke yako.Maji kwa jirani.full tairs.
Bei laki mbili na nusu.

Mawasiliano.piga simu 0768811075.
Weka picha!!
 
Samahani wadau nilitoka ila naelekea pale kupiga picha ili niziweke hapa.
 
usitegemee picha mkuu koz lazima utai disqualify kabla hata ya kwenda kuiona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom