ESCUDO for SALE

ESCUDO for SALE

kennyville

Senior Member
Joined
Jan 12, 2009
Posts
132
Reaction score
38
ESCUDO ya 1993, colour G
Sababu ya kuiuza next month nitakuwa Mauritius for almost two years kwahiyo its better to sell it
 
Asante kwa taarifa, kwani natafuta Escudo kwa ajili ya wadogo zangu huko home bongoland. Naomba kujua Escudo hii ni ya milango mingapi? Hata hivyo, hi gari ya mwaka 1993 kuwa imetembea Km 58,000 tu kumenistua kidogo, waweza toa ufafanuzi? Au fundi kafanya retouch kwenye meter ya km?
 
Looks that you are not serious on this business mkuu!......No picha kabisa, no service history......also refer to Ma'mdogo's post kwa maswali mengine! Pia another disappointment, kuna mdau nimemrushia hiyo namba ya simu anasema haipatikani.........!
 
Asante kwa taarifa, kwani natafuta Escudo kwa ajili ya wadogo zangu huko home bongoland. Naomba kujua Escudo hii ni ya milango mingapi? Hata hivyo, hi gari ya mwaka 1993 kuwa imetembea Km 58,000 tu kumenistua kidogo, waweza toa ufafanuzi? Au fundi kafanya retouch kwenye meter ya km?

2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri
 
Hhahahaahha hii ndio bongoland gari za 1983 bado ziko barabarani sembise hiyooo......hadi leo watu wanaingiza coaster za 1983 tena ziko bomba .......ila shape yake tu ndio utajua ya zamani....engine bomba performance bomba...tz yetu ndio dampo la japan
 
2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri

2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka

3625/12 months= 302km kwa mwezi

302/30 days= 10km kwa siku.

conclusin: coincidence kwamba wamiliki wote X katika series ya owners kuanzia gari iwe mpya wameweza kumaintain avarage ya km. 10 kwa siku is practically impossible.
 
2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri

3625km/365days equavalent to 9.9 km/day Maximum

!!!!!! ??????? !!!! Toa maelezo, kama siyo technology ya Dubai hiyo ya kurudisha speedal meter
 
2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka
hiyo gari ilikuwa ime park mda mwingi nini
embu tuweleze vizuri

3625 km kwa mwaka = 9.9 km per day (round trip from Mwenge-UDSM-Mwenge kila siku). Maana yake hii gari ilikuwa haitumiki kwenda out, arusi, misiba nk). Nachoka ile mbaya!! Tutumia basi picha ya nje na ndani tuichungulie (forensic diagnosis) kwa umakini.
 
ndo biashara za kibongo hizo, hata picha tu haweki. ndo maana wengine wanatudharau kuwa hatujui biashara.
 
Tunashukuru kwa kututaarifu vp unaweza kutuwekea picha ya gari ili tuithaminishe zaidi
Ahsante
 
Mkuu hiyo picha ya gari hilo kupiga ni shughuli?
 
3625 km kwa mwaka = 9.9 km per day (round trip from Mwenge-UDSM-Mwenge kila siku). Maana yake hii gari ilikuwa haitumiki kwenda out, arusi, misiba nk). Nachoka ile mbaya!! Tutumia basi picha ya nje na ndani tuichungulie (forensic diagnosis) kwa umakini.

Kwi kwi kwi..ufisadi ni pamoja na misinformation lol
 
Naona wadau mmekwamia kujadili km za gari.
hamjui kwamba namba ya simu haipatikani??
Mods pls peleka hii kwenye jokes/utani
 
2009 - 1993 = 16yrs

58,000 / 16yrs = 3625km kwa mwaka

3625/12 months= 302km kwa mwezi

302/30 days= 10km kwa siku.

conclusin: coincidence kwamba wamiliki wote X katika series ya owners kuanzia gari iwe mpya wameweza kumaintain avarage ya km. 10 kwa siku is practically impossible.

Nimechoka.....
 
ESCUDO ya 1993, colour Grey, auto, with air condition, 58 thousands KM,4WD - Price 5.6M if your Interested pls contact 0713227455
Sababu ya kuiuza next month nitakuwa Mauritius for almost two years kwahiyo its better to sell it

Mkuu , tuko interested lkn imformation ulizotoa nyingine sio za muhimu does not count on our buzzy km;safari yako ya mauritius sio sababu tosha ya kuiuza, tupe data zote. Na PICHA NI MUHIMU SANA
 
Mkuu , tuko interested lkn imformation ulizotoa nyingine sio za muhimu does not count on our buzzy km;safari yako ya mauritius sio sababu tosha ya kuiuza, tupe data zote. Na PICHA NI MUHIMU SANA
nakuona mzee wa ku-unmask
 
I can guess anachofata Mauritius....Escudo mtaji wake ukawe chambo mmmhhh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom