Toyota Land cruiser Linauzwa bei poa

MKUDE BANZI

New Member
Oct 21, 2010
3
0
DSC00007.JPG DSC00008.JPG Toyota Land cruiser II,year 1994,importe DSC00004.JPG d from japan,CC 4164,engine 3L,colour White gray,5 door,linatembea na lipo katika hali nzuri.bei mil. 11 maelewano yapo. namba zangu 0714809045 DSC00003.JPG
 
View attachment 15603View attachment 15602Toyota Land cruiser II,year 1994,importeView attachment 15601d from japan,CC 4164,engine 3L,colour White gray,5 door,linatembea na lipo katika hali nzuri.bei mil. 11 maelewano yapo. namba zangu 0714809045View attachment 15600

Mkubwa kwa ufahamu wangu ambao ni mzuri Land Cruiser II hazikupewa engine ya Diesel yenye displacement kuzidi 3000cc labda uwe umefanya transplant ambayo itabidi pia ucheze kidogo na chassis ya LJ78 maana zile za size hiyo ni yale makubwa ya H-family.

3L engine displacement yake ni kwenye 2789cc kama sikosei. Ni engine ya kupiga zaidi ya kilometa laki 5 kama utakuwa unaiangalia vizuri. Gari roho ya paka hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom