OFFER OFFER OFFER
ELECTRIC FENCE INSTALLATION
HUGE OFFER 20,000/= per meter
fungiwa electric fence kwa 20,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi...
Subaru Forester inauzwa
Bei: 20.5m
Model, 2010
Engine size 1990cc
Kilometer 72366
Five seats
5 doors
Tire, wheelspaner
FM radio, DVD jack, spare.
Inapatikana Dar es Salaam
Kwa maongezi zaidi piga...
Wakuu habar za mwamko?
Nahitaji machine ya kuvunia mpunga Kwa ajiri ya kazi ya kuvuna mpunga msimu huu kuanzia mwezi4.
Nahitaji kujua aina ya machine iliyo bora na upatikanaji wake wa spears...
Hello bosses and roses...
Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%.
Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi.
UPDATE.
========
SOLD
Kwa wanaotaka viwanja dodoma, follow Widechance real estate:
Tuna viwanja
1.Nala IFM(km 14 from city centre) Milion 2.5 - 5 kwa kiwanja kutegemeana na ukubwa wa sqm 500-1000
2.Nala karibu na...
VIWANJA VIPO UWANJA MPYA WA DODOMA - MSALATO UPANDE WA KITELELA, NA INAPOJENGWA BARABARA YA MZUNGUKO RING ROAD BEI KUANZIA 1,000,000 MPAKA MIL 2 UKUBWA NI KUANZIA SQM 500 HADI 1,600 MAWASILIANO...
Habari,
Ninauza hizi tractor mbili. Zote ni 2WD. Mtumba kutoka Uholanzi bila jembe/trailer.
MF135-46Horsepower
MF158-63 Horsepower
Zimesajiliwa na kila kitu kinafanya kazi vizuri kabisa(Engine za...
Salama Wakuu?
Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama...
Habari wakuu,
Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu.
Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti...
KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA
Specifications;
9 rooms self contained zote
Fence eneo lote + gate
840m² eneo
Kisima (120m) maji muda wote
Dawasco pia maji yapo
Kutoka barabara kuu ni 600M
LOC...
Habari zenu wapiganaji, nina kibali cha kuandaa Mkaa kutoka shambani kwangu gunia 700, mm naziuza kwa kila gunia shilingi 10,000 kutokea shambani. Gharama za usafirishaji ni juu yako pamoja na...
Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na...
Habari wakuu.
Nauza Tank langu KIBOKO LITA ELFU 3. Bado jipya tangu ninunue Lina miezi 7 nahofia kuibiwa maana mlinzi WA site hatulii kazini nahofia hasara mara mbili Bora nipate hasara moja ya...
Katika enzi hii inayoongozwa na maendeleo ya kiteknolojia, suala la usalama katika sekta ya kilimo na biashara zinazohusiana nalo limepewa umuhimu mkubwa. Kamera za CCTV zimekuwa zana muhimu si tu...
Kwa wanao itaji vyumba magomeni vinapatikana. Vinasifa hifuatayo.
Chumba na sebule, chumba ni self container. Maji Massa 24/7, gipsum, ukubwa 12 ×12. Kwa mawasiliano nicheki.
0625511737.
Habari za muda huu wana Jamiiforums, nisiwachoshe mwenye min pocket wifi ya 4G inayoingia lain ya halotel au lain yoyote ile anicheki tuongee biashara namba 0621 074 991