MODEL: PANASONIC PT-LB51U PROJECTOR
Projector hiyo hapo pichani inauzwa. Ni nzuri, nyepesi na ina display vizuri kwenye mazingira yoyote. Ina remote control, cables zote na begi lake la...
Kiwanja kipo kibaha lulanzi,karibu na shule ya msingi lulanzi na shule ya sekondari East coast
unashuka picha ya ndege unaingia ndani kidogo,
kipimo ni miguu 20 kwa 20
Bei:Tsh 2,000,000/=...
Wabari wana jf.?
Nauza cm aina ya nokia x2.01
ina whatsapp.queep:na operamin zote...haihitaji setting ya aina yeyote kwa upate wa internet yaani wewe ukiweka laini tu ya mtandao wowote ina...
Habari zenu wakuuu
chumba cha kupanga kinatafutwa kiwe maeneo ya kinondoni kwa mwenye taarifa zaidi anaweza kunipm bei ya chumba isizidi elfu 50 mazingira yawe tulivu kwa ajiri ya kuishi...
natafuta sumsung galaxy tablet 2 au tab 3 original inayotumia sim card budget yangu ni 300,000 mwenye nayo ani pm au whatsap 0767251838 tufanye biashara.
Nikon D3200. Inauzwa iko katika Hali nzuri sana bei Tsh 1200000.00 Contact 0712652110. Dar .Pia Kama Nahitaji camera video camera za aina yeyote wasiliana na mimi
Habari!
Nahitaji frame au office maeneo yafuataywo..! Msasani, makumbusho, mwenge, kijitonyama, mikocheni na sinza..! Mwenye kujua wapi zinapatikana, tafadhali nijulishe. Bei isizidi laki 2.
We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania.
You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with...
Hallo Wana JF,
Natafuta External HDD 1TB/2TB
Iwe ni Mpya au Slightly Used.
Brand Name Can be Transcend/Samsung/WD or any Good Brand.
Badget Yangu ni Tsh80,000
Baada ya ajira kuwa ngumu nimeamua kujikita kwenye biashara ya korosho
Nauza kwa kg 1@ 15000/=
nusu ni sh 8000/=
napatikana kwenye no 0764167260
au unaweza kuni pm karibuni sana
Kwa wale wahitaji na wenye kupendelea korosho zilizokwisha banguliwa zinapatikana kwa kilo 1 @ 15000/=
weka order yako mapema namba yangu ni 0764167260
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.