Memo bogland
Member
- Nov 20, 2013
- 78
- 26
chukua 3mil
Gari la kuuza sio bei na picha tu
Twambie YOM,Cc,mileage,accident history na vitu kama hivo
Japo na contacts zako ni muhimu
Duh. Kwa namba hizo hizo za gari inaweza patikana kwa bei hio kweli?
Duh. Kwa namba hizo hizo za gari inaweza patikana kwa bei hio kweli?
chukua 4.2m kama inakulipa.
Namba zinahusikaje kwenye bei!thamani ya gari? just 100,000/= can do with the numbers, don't get brainwashed by plate numbers bro!Duh. Kwa namba hizo hizo za gari inaweza patikana kwa bei hio kweli?
Kwani huyo muuzaji anauza gari au namba?
Namba zinahusikaje kwenye bei!thamani ya gari? just 100,000/= can do with the numbers, don't get brainwashed by plate numbers bro!
5.5m, unapata lamp sum ya 3m, then 2.5 unapata ndani ya miezi miwili...kama upo tayari ni text 0688195219