Sq 1100 metre 50 vipo viwili kwa pamoja
Eneo Mbutu kichangani
,, KIGAMBONI mbali na mradi wa BUSH,
Karibu kabisa na Bahari ,,, Eneo zuri Kwa kujenga Hotel, Kiwanja kina hati,,,, BEI MIL 75...
Wapendwa wanaforamu,
Kwa muda mrefu kumekuwepo na tetesi kuwa, 'KISWAHILI NI MTAJI'. Je wewe binafsi umeshazifanyia kazi 'tetesi' hizo? Kama ndiyo, hongera sana na itumie fursa uliyonayo kujiajiri...
wana jf nina laptop yangu aina ya Toshiba,RAM 2 GB,hard disc 160 GB ila betri haitunzi moto kwa muda mrefu,bei yake laki mbili na nusu.Kwa anaye hitaji aniPM au nipigie simu no 0764 810815,nipo Dar.
pikipiki aina ya HONDA yenye namba za usaili T 763 BTN wajanja wanaiita daz kisanga katika hali nzuri inauzwa moshi mjini kwa gharama ya laki tisa tu wahi sasa
Inauzwa kwa bei ya 380,000(negotiable kidogo)
4.0 inch superamoled screen
1gb ram
8gb internal memory
with SD card support
Android 4.1.2 (custom rom ya Dmod v6 with some S4 features)
5mpx...
Wana jf ninaitaji kituo cha mauzo ya pikipiki hizi za kichina ambapo naweza lipa 3 installation mil 1 kwa sasa, mwezi wa 4 laki 5, na mwisho namalizia mwezi wa 5, kama ipo hiyo au anayejua namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.