Korosho kutoka Mtwara

Korosho kutoka Mtwara

Ziada

Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
82
Reaction score
17
Kwa wale wahitaji na wenye kupendelea korosho zilizokwisha banguliwa zinapatikana kwa kilo 1 @ 15000/=
weka order yako mapema namba yangu ni 0764167260
 
kwa wale wahitaji na wenye kupendelea korosho zilizokwisha banguliwa zinapatikana kwa kilo 1 @ 15000/=
weka order yako mapema namba yangu ni 0764167260

Mkuu naomba kama una vipi tuungane tuifanye hy biashara, najua tatizo la tanzania ni vihifadhia lkn nakuhakikishia tutatengeneza viiweka venye ubora na kuvutia kwa madhari ya kiafrica na tuanze ku-export kama ujuuavyo bidhaa hizo ni zero rate tax!


nakusikiliza kama vipi ni-PM tuone tunanzaje!
 
Back
Top Bottom