Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,938
Wakubwa mwenye gari hizo tajwa hapo juu ambazo siyo kajanja yaani siyo zile sijui D4 ambazo muuzaji anajua kabisa kuwa ni kimeo tuwasiliane na offer yake.
mkuu nina RAV4 je wewe unahitaji ya kununua au ya kukodi?na iwe ya mwaka gani na sifa zingine pamoja na ofa yakoWakubwa mwenye gari hizo tajwa hapo juu ambazo siyo kajanja yaani siyo zile sijui D4 ambazo muuzaji anajua kabisa kuwa ni kimeo tuwasiliane na offer yake.
toa maelezo sasa, budget yako, contacts eeh, unakua kama ndo umeingia jamvini mara ya kwanza??Wakubwa mwenye gari hizo tajwa hapo juu ambazo siyo kajanja yaani siyo zile sijui D4 ambazo muuzaji anajua kabisa kuwa ni kimeo tuwasiliane na offer yake.