Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

Bajaji aina ya tvs king inauzwa tsh 3,100,000 tu!!

MUJUNI JR

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
23
Reaction score
5
Habari wana Jamii Forum,

Nauza Bajaji aina ya TVS KING yenye usajili namba T....CAP kwa Tshs 3,100,000 tu! Nime renew Bima mwezi huu na Sumatra pia imelipiwa.

For serious buyers tuwasiliane kwa namba 0717171790.Price negotiable.
 
Attachments

  • 20140106_085803.jpg
    20140106_085803.jpg
    1.2 MB · Views: 570
Habari wana Jamii Forum,

Nauza Bajaji aina ya TVS KING yenye usajili namba T....CAP kwa Tshs 3,100,000 tu! Nime renew Bima mwezi huu na Sumatra pia imelipiwa.

For serious buyers tuwasiliane kwa namba 0717171790.

Mkuu imepiga mzigo kwa muda gani? Unauza kwasababu zipi? Then ni TVS au KING
 
Mkuu imepiga mzigo kwa muda gani? Unauza kwasababu zipi? Then ni TVS au KING

Karibia miaka 2 na kuiuza ni kwasababu nimepata issue nyingine ambayo imepungukiwa mtaji.Kuhusu brand ni TVS KING!

Karibu sana!
 
Ushauri kuhusu issue za biashara za bajaji unaweza kuuliza hapa tukajadili kuliko njia ya kupiga simu ili upate mchango wa wadau wengi.
 
Ladies and gentleman price is negotiable!! Karibuni sana! :ranger:
 
Acheni uzuzu nyie wanunuzi. We unaona kazi gani kwenda dukani kuchukua mpya. Kununua chazamani ni saw na kununua matatizoambayo mwingine anayakimbia. Fikifieni kununua bajaji mpya ili uwe huru kwa muda fulani katika biashara.
 
Vidude vinaibiwa hivo balaa! Hivi karibuni nitawaletea mkasa wangu kuibiwa TVS KING T671BZY ngoja shauri liishe mahakamani.

Siku hizi hizo ni dili vijiweni zinaibiwa sana
 
Kwa fikra hizi magari ya wajapani yasingeuzika maana ndio yaliyojaa barabarani maisha yanasogea.Alafu kama mtu anaweza kununua chombo kipya ni jambo jema nadhani unajua bei ya bajaji TVS King mpya zinauzwaje sasa na hazipo madukani tu unaenda unabeba bali kwa order otherwise upigwe bei za ajabu kwa haraka zako.

Kwa muhitaji ana karibishwa.
 
Vidude vinaibiwa hivo balaa! Hivi karibuni nitawaletea mkasa wangu kuibiwa TVS KING T671BZY ngoja shauri liishe mahakamani.

Siku hizi hizo ni dili vijiweni zinaibiwa sana

Ni kweli mkuu kama jinsi ambavyo kila mahali, kila sector uhalifu ni mwingi.Kila biashara ina namna yake kuifanya ili kupunguza nafasi ya uhalifu hivyo uzoefu nim muhimu pia.

Asante kwa tahadhari.
 
Habari wana Jamii Forum,

Nauza Bajaji aina ya TVS KING yenye usajili namba T....CAP kwa Tshs 3,100,000 tu! Nime renew Bima mwezi huu na Sumatra pia imelipiwa.

For serious buyers tuwasiliane kwa namba 0717171790.
Bado ipo?...au wadau washaichukua
 
Mkuu hebu niambie haina tatizo lolote linalosumbua? Je kuifanyia majaribio na fundi wangu ni ruksa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom