taurus5270
Member
- Dec 31, 2013
- 79
- 13
Hello wana jamii, samahanini kea usumbufu, sijui kma ni jukwaa husika au laa, natafuta nyumb ya kupanga hapa dar, iwe kino,knyama mwenge mikocheni nk. Kodi iwe chini ya 150000 kwa mwezi. Ni pm kama waweza kunisaidia.