wakuu nauza
IPAD 2 16GB WI-FI AND 3G. Black in colour,used for one month only, bado mpya haina any stratch
price 500,000. haipungui!unapata charger yake and a plastic case cover.
IPAD 3...
Nyumba yenye uwezo wa vyumba vinne.
1. Chumba Master lina kabati la ukutani choo/bafu.
2.Chumba cha kawaida kikubwa
3.Chumba cha kawaida
4.Chumba cha kawaida
Varanda 2
Ki-maktaba 1
Choo...
Selling a 1994 White Toyota Special aka Corolla in Mwanza.
The car is automatic, 4 wheel drive and has recently been serviced with new battery, new brakes, 4 new tires, and a cd/dvd player.
It...
Wataalamu wa simu aina za smartphones na pia ipad naomba ushauri nichukue aina gani. Kwasasa nina handset moja aina ya iPhone 5, nataka ninunue nyingine kama sio smartphone basi iPad.
Kwa...
Uwanja upo maeneo ya goba unauzwa,eneo lina maendeleo na linafaa kwa makazi,umeme umeshafika mbele ya kiwanja,ukubwa wa kiwanja ni 650 sqm,kwa anayehitaji tuwasiliane (send PM).
Nyumba ni nzuri ya kibiashara kayumba 20, iko katika mazingira mazuri, kwa sasa imepangishwa . Bei ni Tshs 370 Milioni ipo maeneo ya mwananyamala oilcom
Tuwasiliane 07153 900071
Perfect App opportunity is about to go. You dont want tomiss this opportunity of becoming a profit sharing member of this App. If youdont join it now during this opportunity, rest assured that...
napangisha nyumba yangu ipo dodoma mjini maeneo ya area e ipagala.
ina vyumba 4 full furnished . kwa mwezi nachaji tsh 1 milioni.
kwa maelezo zaidi nitafute kwa namba ya simu 0658777859
Mahali:MANZESE
Sifa:Awe amemaliza kidato cha nne mwaka 2013/2014
awe na
Chemistry B+
English A
biology B+
math B
mshahara:150,000/=
PM au piga 0657 445 777
ahsante.
ninasehemu nzuri ya makazi ambapo. wanaweza ishi watu 4 napapangisha kwa. fedha za kitanzania milioni mbili kwa siku 60.
kwa maelezo zaidi nitafute kwa 0658777859
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.