Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu natafuta simu ya kununua yenye android aina yoyote bajeti yangu 80000 siongezi hata mia.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naishi wilaya ya Magu mkoani Mwanza, nimehamia Azam tv so mwenye kuhitaji kisimbusi cha Star times anichek kupitia cm no 0752796133. Bei maelewano!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Make:Toyota Model:starlet Eng capacity:1330 Man year:1998 +alloy rims and music systen 1,200w Gari iko katika hali nzuri na ni well maintained kasoro ni kwenye baadh ya indicators,bei itapoa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
natafuta samsung galaxy sII - 250,000/= samsung galaxy sIII - 400,000/= samsung galaxy sIV- 480,000/= mm nko Arusha na namba zangu ni 0764118083
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu...nauza simu aina ya blackberry curve 3 (9380) ni mpyaa..haina tatizo lolote,no scratches. #bei tsh laki 2 na 30...(230,000/=Tsh) »Kama unaipenda unaweza ukani PM tuwasiliane.
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Ni mpya kabisa.... pia ina vifaa vyake vyote... kama unaipenda nicheki kupitia 0713 190 118....nipo Dar !!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilileta taarifa hapa za kutafuta Damu ya kumuongezea baba, nilipata ushirikiano mkubwa sana kutoka kwenu!! Ila Mungu kampenda zaidi, tutakuwa dar kwakipindi kifupi then tutaelekea kirua vunjo...
0 Reactions
79 Replies
5K Views
Nina mzigo wangu unatoka China unakuja na Meli. Natafuta clearing agent nitakaeweza kuwasiliana nae kw simuanipe utaratibu wa kushughulikia huo mzigo.
1 Reactions
0 Replies
809 Views
Nahitaji Samsung Galaxy S2 white iliyo katika hali nzuri,niPM,email newbietz@yahoo.com au weka namba
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Trim color,cd radio,new tyres, engine 4s,good condition, some scratch on passenger door,ac need refill,but we can do it for you if tunaelewana.carina ed very good looking.call 0659574107.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana JF! nauza used Computer desktop 1pc bei 200,000/=Tshs haipungui Dell Optiplex 745 Intel Core 2 Duo CPU 2.00ghz 80gb HDD 1gb Ram memory DvD/CD Rw 17' Flat screen [FLATRON type-silver...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naunza mtungi wa gas wa manjis kg 15 bei chee(laki 1) umejaa gas na bufa kubwa{95 elfu) aina ya sansang yenye spika 2 na remot
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jf naomba mnisaidie ni wapi naweza pata mahindi mazuri kwa ajili ya popcorn na gharama zake, nataka nianzishe hii biashara na mshine ya kutengenezea popcorn yenye kitoroli chake inayotumia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Iwe yenye uzio, chumba na sebule self, mitaa ya Isamilo, kona ya Bwiru au Ghana hata Mjini kati. Budget 150,000 kwa mwezi. Inaweza kua ya ku-share pia, say upande mmoja
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mfanyakazi wa ndani kazi yake kubwa ni kumulea mwanangu ataishi dar mm nipo kilimanjaro.malipo yake maelewano.mazingira ya kuishi yenye yapo mazuri.angalizo asiwe mtu mcharuko.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi ninajishughulisha na ufungaji wa wiring za tv,kamera za usalama yaani cctv,tv satelite dish,simu za ndani extensions pamoja na data net(intenate) ktk maofisi mahotel na majengo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, natafuta blenda kwa yeyote ambaye anauza blenda ya saizi yoyote anijulishe na bei
0 Reactions
7 Replies
3K Views
A samsung bachelor single door fridge available for only 580,000 with 2yrs warrant. Delivery its done as soon you press your order. cont:0718 268969.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau kuna mdau anauza gari aina ya escudo,colour green,ya kama mwaka 2008,kwa mawasiliano wasiliana nae 0784859131, bei ni 6.5 mil
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi nahitaji line za tigo pesa na Mpesa, mwenye nazo ani PM.
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Back
Top Bottom