Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,221
Nyumba yenye uwezo wa vyumba vinne.
1. Chumba Master lina kabati la ukutani choo/bafu.
2.Chumba cha kawaida kikubwa
3.Chumba cha kawaida
4.Chumba cha kawaida
Varanda 2
Ki-maktaba 1
Choo na bafu ndani
Jiko na vikabati
nje Choo na bafu
simtank mbili( 2) kubwa chini na ndogo juu na mota
Frem za duka tatu 3 zoote ninapangishwa ni za kisasa mpamgaji anapewa kipaumbele.
kuna stoo mbili nje.
NYUMBA IMEFANYIWA UKARANATI NI MPYA KABISA FULL TILES INAMAKINGO YA KUVUNIAAJI.
IPO KATIKA HALI MZURI SANA KILA CHUMBA KUNA FENI (panga boy kubwa)
Ina packing moja ya gari ndogo ukubwa wa V8 ina geti kubwa na ndogo sehemu mbili tofauti.
Bei ni mill 5 kwa mwaka
Madirisha ni ya vioo ila sio vya kuslide ni vya kufungua na kufunga.
Dalali hausiki wala hatakiwi.
ni pm kwa mwawasiliano.