M mchepuko JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,419 Feb 23, 2014 #1 Ndugu...inahitajika toyota Carina ti engine ya 5A.....iwe kwenye hali nzuri.Dalali haitajiki...bajet isiyozidi 5milion Tshs cash. Karibu
Ndugu...inahitajika toyota Carina ti engine ya 5A.....iwe kwenye hali nzuri.Dalali haitajiki...bajet isiyozidi 5milion Tshs cash. Karibu
M mchepuko JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,419 Feb 24, 2014 Thread starter #2 nasubiri
Mpendasifa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 277 Reaction score 111 Feb 24, 2014 #3 Mkuu jichange tu uagize toka nje bei zake sio kubwa sana
M mchepuko JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 1,192 Reaction score 1,419 Feb 24, 2014 Thread starter #4 Mpendasifa said: Mkuu jichange tu uagize toka nje bei zake sio kubwa sana Click to expand... sawa...ila ndio maana kuna wanaoagiza na wanaonunua za walioagiza
Mpendasifa said: Mkuu jichange tu uagize toka nje bei zake sio kubwa sana Click to expand... sawa...ila ndio maana kuna wanaoagiza na wanaonunua za walioagiza
Danny Massawe JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,299 Reaction score 765 Feb 24, 2014 #5 kwani kuagiza carina nje ni bei gani? @Mpendasifa
Mpendasifa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 277 Reaction score 111 Feb 24, 2014 #6 mchepuko said: sawa...ila ndio maana kuna wanaoagiza na wanaonunua za walioagiza Click to expand... Inarange kwenye 7.5 mpka 9 mpka kulitoa bandarini kulingana na gari yenyewe
mchepuko said: sawa...ila ndio maana kuna wanaoagiza na wanaonunua za walioagiza Click to expand... Inarange kwenye 7.5 mpka 9 mpka kulitoa bandarini kulingana na gari yenyewe
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,944 Reaction score 810 Feb 24, 2014 #7 Mpendasifa said: Inarange kwenye 7.5 mpka 9 mpka kulitoa bandarini kulingana na gari yenyewe Click to expand... Ipo ti moja safi sana na namba ni c bei 8.2m
Mpendasifa said: Inarange kwenye 7.5 mpka 9 mpka kulitoa bandarini kulingana na gari yenyewe Click to expand... Ipo ti moja safi sana na namba ni c bei 8.2m