kawe zipo mbili kwa moja bei 280 m,mwenye kuitaji maongezi yapo nipm,
mkuu si kaweka namba?huwezi kuwa interested na biashara ya m370 afu ukakosa vocha ya kupiga kuulizia mambo mengine!.....au alimradi nawe umecomment?kuwa serious!Weka Picha,
alafu mwananyamala oilcom ndio umemaliza maelezo?
Kayumba 20 ndio nini?