wadau nina used engine spares kwa wenye isuzu tani 10. modeli ya injini ni 6he1. sema unachohitaji nami nitakuletea pale ulipo. hii ni kwa dar es salaam, mbeya na iringa
Nyumba inauzwa maeneo ya tabata luwiti ina vyumba vitano na sebule, yafaa kwa biashara na kuishi kwa kua ipo barabarani, pia ina eneo dogo la kuongeza vyumba kama vitano kwa wanaohitaji...
Habari wakubwa,
Samahani ila nlikua naulizia mwenye kujua kuhusu Decorder ambayo inaweza kuweka kadi mbili ya abu dhabi na aljazeera na target yangu ni kulipia al jazeera kwa ajili ya kuonyeshea...
naunza mtungi wa gas wa manjis kg 15 bei chee(laki 1) umejaa gas na bufa kubwa{95 elfu) aina ya sansang yenye spika 2 na remot kwa mawasiliano ni pm kama upo arusha mjini
Uliwahi kuisikiliza video hii?
Kusikiliza video hii kunaweza kuwa kitu kikubwa ambachohutakisahau kwenye maisha yako milele
http://youtu.be/1IVB5YueolU
Nauza simu aina ya Tecno Phantom Pad N9. Used kwa miezi 3 sasa toka dukani Tarehe Dec/30/2013. Contacts: 0787 459 850 Tsh. 320,000/= Price negotiations acceptable!!
Sifa za Pad hii ni kama...
Tunatengeneza pochi nzuri kwa bei nafuu,ikiwa una kitchen party ungependa kumechi na pochi,basi unatupa kipande cha kitambaa kidogo ambacho umeshona gauni/sketi yako then tunakutengenezea...
Join DTBi & COSTECH for an informative seminar presented by Mr. Carl Davis Jr, President/Executive Director of Silicon Valley Black Chamber of Commerce.
He will address how to understand the...
Wana JF nina kagari kangu Nissan almera naiuza
km 100,000
cc 1600
Rg: T728 CHW
PRICE: 9,800,000/=
IN VERY GOOD CONDITION
CONTACT: 0764990975
eazy1982@yahoo.com
OR NI PM
Hio ndio bei ya kuanzia na...
Habari wana jamii forum, najua huu uwanja sio wa haya mamb lakini nimeona n vizuri na nyie niwape hii taarifa kwa sabab natumai wote mnapend vitu vizur katika majumba yenu!
Kuna saa za ukutani...
Htc one v inauzwa, ipo kwenye hali nzuri sana, still bado mpya, ina almost two weeks,,
nipo morogoro..
Bei 220,000
kwa walio seriouz na biashara:::
Call
text
whatsapp :: 0785673240
Wakuu salama, nataka kununua toyota spacio new model, vipi uimara wake, spear zake na bei zake kwa showroom za Tanzania na kuagiza nje mpaka inifikie mkononi. Asanteni
New 3bedroom Apartment for sale in Upanga ,Dar es salaam with kitchen, bathroom and
no furniture.
price $ 110,000 and $bedrooms $ 140,000.
Street: 575 mindu street, opposite Azania College of...
Nna access na hizo consoles, brand new, brand new ps4, 500gb, 4 game pads. Brand new XBox1 500gb, with 1 controller, no kinect. Naweza kuzipata mpaka Bongo kwa 500K, zinauzika bei gani hapa Bongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.